TANGAZO LA CHUO
TANGAZO!!!
TANGAZO!!! TANGAZO!!!
Chuo Kikuu Cha Kikatoliki Mwenge
yaani Mwenge Catholic University (MWECAU) kilichopo Moshi mkoani
Kilimanjaro kinawatangazia nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2019/2020
katika kozi za Certificate, Diploma,
Undergraduate
(Degree) na Postgraduate.
Chuo kipo Manispaa ya Moshi Mjini
mkabala na Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi (MOCU) upande wa kusini-mashariki,
Chuo Kikuu Cha Utabibu KCMC na Hospitali ya Rufaa KCMC upande wa kusini, na
Chuo Cha Maliasili (MWEKA) upande wa kaskazini.
Namna ya kufika chuoni, ukiwa Stendi
kuu ya Mabasi Moshi Mjini chukua haisi zinazokwenda KCMC ushukie Ushirika Wa Neema kwa nauli ya Tshs.
400/= Tu. Kisha chukua bodaboda kwa nauli ya Tshs. 1000/= itakufikisha mpaka
geti la Chuo.
MWECAU, Education is Lux Mundi.
KOZI ZINAZOTOLEWA/KUDAHILIWA NA CHUO KIKUU CHA KIKATOLIKI MWENGE 2019/2020 (Updated)
Postgraduate Programmes
- Doctor of Philosophy
in Education (3 years)
- Master of Education
(2 years)
- Master of Business
Administration (2 years)
- Postgraduate Diploma
in Education (1 year)
- Postgraduate Diploma
in Business (1 year)
Undergraduate Programmes
- Bachelor of Arts
with Education
- Bachelor of
Education in Science
- Bachelor of Project
Planning and Management
- Bachelor of Arts in
Geography and Environmental Studies
- Bachelor of Arts in
Sociology and Social Work
- Bachelor of Business
Administration
- Bachelor of Science
in Mathematics and Statistics
- Bachelor of Arts in
Philosophy with Ethics
Diploma Programmes (2 years)
- Diploma in
Accounting
- Diploma in Business
Administration
- Diploma in Law
- Diploma in Records
and Archives Management
- Diploma in ICT
- Diploma in Social
Work
- Diploma in
Procurement and Supply
- Diploma in
Laboratory Technology (3 years)
Certificate Programmes
- Certificate in
Accounting
- Certificate in Business
Administration
- Certificate in Law
- Certificate in
Records and Archives Management
- Certificate in ICT
- Certificate in
Social Work
- Certificate in
Procurement and Supply
Apply online through this
link http://41.93.82.5/uas or Website www.mwecau.ac.tz
For more information call:
0758889984/ 0755154215/0754082275/0756887697 or Visit our Website www.mwecau.ac.tz
MWECAU: Soaring with you to great heights!!
No comments