TANGAZO
TANGAZO!!!!! TANGAZO!!!!!
TANGAZO!!!!!
Shule ya sekondari Singe
iliyopo wilaya ya Babati mkoani Manyara iliyosajiliwa na Wizara ya Elimu,
Sayansi na Teknolojia pamoja na Baraza
la Mitihani NECTA kwa nambari S.136 inawatangazia na kuwakaribisha wanafunzi
wote kujiunga na masomo kwa kidato cha kwanza hadi cha sita wavulana kwa
wasichana. Shule ni ya bweni na ina mazingira mazuri ya kujifunzia pamoja na
maabara za kisasa kwa masomo ya sayansi. Shule ina walimu waliobobea katika
taaluma ya ufundishaji kwa kidato cha kwanza hadi cha sita.
Shule ina michepuo ya sayansi,
biashara na sanaa kama vile HKL, HGK, HGL, HGE, CBG, EGM na PCB. Pia shule imeanzisha
masomo ya kompyuta kwa O-level na inafundisha kozi ya kiingereza (English
Course) na kumwezesha mwanafunzi kuongea kiingereza kwa ufasaha. Shule ipo
kilometa tano (KM 05) kutoka Babati mjini karibu na barabara inayoelekea
Kondoa.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu
nambari: 0688001935 au 0784396020.
Sanduku la posta: 77
Babati-Manyara.
hongeraaa
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteAhsante
DeleteThis comment has been removed by the author.
Delete