TANGAZO


TANGAZO!!!!!  TANGAZO!!!!!  TANGAZO!!!!!
Shule ya sekondari Singe iliyopo wilaya ya Babati mkoani Manyara iliyosajiliwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na  Baraza la Mitihani NECTA kwa nambari S.136 inawatangazia na kuwakaribisha wanafunzi wote kujiunga na masomo kwa kidato cha kwanza hadi cha sita wavulana kwa wasichana. Shule ni ya bweni na ina mazingira mazuri ya kujifunzia pamoja na maabara za kisasa kwa masomo ya sayansi. Shule ina walimu waliobobea katika taaluma ya ufundishaji kwa kidato cha kwanza hadi cha sita.
Shule ina michepuo ya sayansi, biashara na sanaa kama vile HKL, HGK, HGL, HGE, CBG, EGM na PCB. Pia shule imeanzisha masomo ya kompyuta kwa O-level na inafundisha kozi ya kiingereza (English Course) na kumwezesha mwanafunzi kuongea kiingereza kwa ufasaha. Shule ipo kilometa tano (KM 05) kutoka Babati mjini karibu na barabara inayoelekea Kondoa.
Kwa mawasiliano zaidi piga simu nambari: 0688001935 au 0784396020.
Sanduku la posta: 77 Babati-Manyara.


5 comments:

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.