BOSI ANANITAKA NIWE MCHEPUKO WAKE ---- 01


BOSI ANANITAKA NIWE MCHEPUKO WAKE
SIMULIZI BUNILIZI
MTUNZI: Mwl Juma
WhatsApp: 0762957992
Sehemu ya 01.
Ilikuwa siku ya alhamisi asubuhi nilipogutuka kutoka usingizini baada ya ndoto niliyokuwa nikiiota kukatika ghafula bila kutambua nilichokuwa nikikiota. Nilishirikisha halmashauri ya kichwa changu kilichochongoka kwa mbele mithili ya treni ya umeme yenye kutumia gesi asilia bila kupata jawabu lolote na kubaki nimeduwaa kama mfalme wa Babeli akitegemea tafsiri ya ndoto yake pasina kuambulia chochote. Niligundua ilikuwa imefika saa mbili asubuhi baada ya kuona mwanga wa jua uliopenya kwenye ufa mpana wa kona ya kijumba nilichokuwa nimelala kwa muda.
Niliamka na kupiga mswaki halafu nikavaa t-shirt rangi ya bluu, suruali ya kadeti rangi ya kaki na raba rangi nyekundu miguuni kisha nikajichanganya mtaani nikihangaika huku na kule mithili ya kuku aliyekatwa kichwa akicheza dansi la kukata roho huku akiisaliti suruali yake na kutaka avae kaptura ikiwa ni harakati za kuzisaka noti zilipo bila kusahau bahasha yangu mkononi iliyokuwa imebebea vyeti na baadhi ya matini ngumu(hardcopies) zinazonihusu. Nilibisha hodi kila ofisi niliyodhani pengine ningebahatisha kupata kazi kulingana na taaluma yangu niliyoisomea ya komputa kwa ngazi ya shahada katika chuo fulani maarufu hapa nchini. Juhudi zangu ziligonga mwamba siku kwa siku bila kupata kazi nikahisi kukata tamaa ya maisha kwani hata pa kuishi nilikuwa nikikaa kwa rafiki yangu ambaye pia noti zimemsaliti.
Niliendelea kuishi na rafiki yangu aitwaye Edward huku nikipendelea kukaa kibarazani nikiwa na simu yangu ya Tecno W3 nikizikagua arafa zilizozituma kwa marafiki zangu niliosoma nao chuoni pasipo mrejesho wowote ikiashiria hawana hata pesa ya kununulia msosi wa buku sembuse kuunga bando la SMS ni ndoto. Nilizidi kukata tamaa na kujisemea moyoni kuwa kama ni mbwai wacha iwe mbwai nitajiingiza hata kuuza kete za mirungi na wahuni wa mtaa angalau nisavaivu bila kujali ni biashara haramu.
Siku iliyofuata mida ya jioni nilijiandaa kwa mitoko nikazurure mtaani, nilivaa dizaini ya kimagharibi yaani pensi rangi nyeusi yenye mistari miyekundu mapajani, t-shirt fulani ya kijanja pamoja na earphone masikioni kisha nikajichanganya mtaani kushangaa shangaa mji kama njia ya kupunguza mawazo.
Ghafula nilipokuwa njiani nilisikia honi ya gari iliashiria nipishe gari ipite nilipogeuka ilikuwa ni gari ndogo nyeusi aina ya LANDCRUISER. Nilipisha njia lakini cha kushangaza gari lile liliponipita tu lilisimama wakati huo mapigo yangu ya moyo yapiga kwa kasi mithili ya moyo kuruka kichurachura nikajawa na wasiwasi mkubwa na kujiuliza sababu ya gari lile kusimama mbele yangu na kukosa pa kupitia kwani njia ilikuwa ya kawaida isiyo rasmi.
Dereva alishusha kioo cha dirisha kumbe alikuwa ni mwanamke aliyekuwa akiendesha gari. Mwanamke huyo alinisalimia akisema “mambooo...” nikamjibu “poa tu mama shikamoo” aliitikia salamu yangu kwa shingo upande kama vile kuipotezea akajibu tu “usijali mimi niko poa lakini vipi unaelekea wapi? Aliniuliza mwanamke yule nikamwambia “naelekea mtaa wa pili”. Mwanamke yule nisiyemfahamu vizuri aliniomba sana niingie ndani ya gari lake anisogeze mtaa ninaoelekea. Ilibidi nikubali, nikaingia ndani ya gari kisha mdogo mdogo gari likaondoka.
Nilijiuliza maswali mengi kichwani mwangu yasiyo na majawabu kuhusu huyu mwanamke maana simfahamu lakini ananichangamkia kama vila tunajuana. Ukimya ulitawala kati yetu takribani dakika mbili huku nikimtazama kiwiziwizi kwa kumzoom hakika mwanamke yule alikuwa mzuri sana mwenye umbo la aina yake sijawahi kukutana na mwanamke mzuri kama huyo ingawa nilihisi aibu na kuchanganyikiwa kwa jinsi alivyovaa kimitego kumnasa kuku wa kienyeji aliye karibu naye.
Mwanamke yule nisiyemfahamu kwa kumwangalia tu alikuwa na umri unaokadiriwa kati ya miaka 28-35, ana umbo zuri la namba nane, mshale wa matiti yale unasoma saa sita na robo kabla ya muda wa kuhangaika kutegesha redio kusikiliza kipindi cha dira ya dunia ya saa saba kutoka Ujerumani, ana miguu mizuri hakuna mfano wake, sauti yake inamfanya nyoka aingie pangoni mwenyewe badala ya kutoka, kiuno chake kinamvutia jogoo kuwika muda wowote bila kujali ni muda gani, lips zake hazina mfano ameumbwa akaumbika. Baada ya ukimya mfupi aliamua kunisemesha “vipi unaonekana wewe ni kijana mtaratibu sana huwa nakuona kila siku umekaa kibarazani nikipita na gari yangu kuelekea kazini” nilishtuka sana kumbe yule mwanamke huwa ananiona kila siku lakini mimi simfahamu. Aliniomba anipeleke nyumbani kwake nipafahamu kwani ni mtaa wa pili jirani na ninakoelekea kupiga misele yangu.
Mwanamke yule alijitambulisha kwangu akasema anaitwa Rebecca ni mmiliki wa kampuni ya kuuza vipodozi ambavyo huziuzwa hadi nje ya nchi lakini ana ofisi yake kama bosi wa kampuni yenye wafanyakazi kedekede. Nilijiuliza maswali kichwani mwangu bila majawabu kuwa ni kwanini sasa bosi mkubwa kama huyu ananitegatega na vinguo vyake anakaa nusu uchi akijifunua funua makusudi ili nimwone pia niligundua kuwa Rebecca ana uwezo mkubwa kiuchumi sasa inakuwaje anahitaji kujuana na kapuku kama mimi? ambaye sina hata mia mfukoni bali umaskini wangu unafichwa tu na pamba ninazopiga utadhani nina mkwanja. Nilijikaza kiume nikajisemea moyoni endapo ananitaka sitapoteza fursa hii adimu kwa mwanamke aliyeumbika kama huyu lazima nimwandikie dozi iliyochanganywa na glukosi itakayotibu ugonjwa wake kisawa sawa akijilengesha kwangu. Tulifika nyumbani kwa Rebecca akapiga honi geti likafunguliwa akaingiza gari.
Alinikaribisha niingie naye ndani ya nyumba yake kitu ambacho hata mlinzi wake hajawahi kufanyiwa kuinusa hata sebule. Mlinzi alishangaa sana kuniona nakaribishwa ndani kwa bosi  Rebecca. Rebecca ana nyumba nzuri ya kifahari yenye fulu kiyoyozi pazuri hakuna mfano wala sijawahi kuingia kwenye nyumba kama ile. Rebecca alikaa kwenye kochi mojawapo huku mimi nilibaki nikizidi kushangaa nyumba ilivyo nzuri nikiwa nimesimama kwanza kwa woga huwezi kuamini lakini nikapiga moyo konde nikajisemea moyoni kuwa sitakiwi kuogopa mimi kama kidume.
Rebecca alinitazama akaniambia “jamani handsome mbona umesimama naomba ukae usiogope mimi ndo mwenye nyumba hakuna mwingine” ndipo nikakaa kwenye kochi lingine lakini Rebecca alitaka nikae karibu yake kitu ambacho nilikuwa nakihofia nikijiuliza kichwani nini kusudi la huyu mwanamke ingawa ilibidi niondoe woga kwa sababu nimeshatambua anachokihitaji kutokana na mitego yake kujifunua funua kiasi kwamba msambwanda wake upo nje nje duuuh nilikaza roho.
Niliamka nilipokuwa nimeketi nikakaa karibu yake kama anavyotaka nikae karibu yake, akaniwekea mkono wake wa kulia kwenye bega langu nilisisimka mwili mzima ghafula tukatazamana naye kwa sekunde kama ishirini hivi. Akaanza kuongea kimahaba huku macho yake yamelegea akiniambia leo nitakupatia zawadi naomba uipokee wewe ni handsome wangu nitakupa kila unachokihitaji kutoka kwangu tulianza kuzawadiana mabusu moto moto nilijihisi matatizo yangu yamesahaulika kwa muda huo.
Alinichangamkia kama Mangi amemwona mteja ikabidi nioneshe ushirikiano nikiyapapasa makalio yake makubwa yaliyojaa jaa na kuonekana mithili ya kichuguu kilichojengwa na mchwa mafundi waliosomea ufundi washi. Nilianza kuyanyonya matiti yake yaliyoumbwa yakaumbika tukiwa palepale kwenye kochi ndipo Rebecca alipoanza kuhema kwa kasi. Niliupeleka mkono wangu taratiiibu kuanza harakati za kuisaka ikulu yake ndogo iliyozungushiwa fensi imara nilipoigusa nilimsikia akilalamika kwa sauti ishiiiiiiiiiiii uwiiiiiiii jamani handsome wangu utaniua kwa raha hizi naomba uhamie kwangu aliropoka.
ITAENDELEA................................................
Fuatilia sehemu ya pili kujua kilichoendelea...........................................................................





5 comments:

  1. Enter your comment...simulizi nzuri sanaa

    ReplyDelete
  2. Enter your comment...hii story tamu sanaa nitaipataje yote @mwl juma na gharama zake vipi

    ReplyDelete

Theme images by jangeltun. Powered by Blogger.